// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC KUENDELEZA UBABE WAKE KWA MTIBWA KESHO? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC KUENDELEZA UBABE WAKE KWA MTIBWA KESHO? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 17, 2012

    SIMBA SC KUENDELEZA UBABE WAKE KWA MTIBWA KESHO?


    Kikosi cha Simba
    SIMBA ya Dar es Salaam, kesho inatarajiwa kuendeleza harakati zake za kuipokonya Yanga ubingwa wa Yanga, itakapokuwa mgeni wa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
    Simba ambao wanaongoza ligi hiyo kwa pointi zao 44, wakifuatiwa na Azam yenye pointi 41, wakati Yanga, mabingwa watetezi wana pointi 10, mara ya mwisho ilifungwa na Mtibwa, Machi 22, mwaka 2009, bao la Omar Matuta lakini tangu hapo wamekuwa wakishinda mfululizo.
    Simba inayonolewa na Mserbia Milovan Cirkovic, pamoja na kutarajiwa kulinda rekodi yake mbele ya Mtibwa inayofundishwa na Mkenya, Thom Olaba lakini pia inahitaji kuendeleza wimbi la ushindi katika mechi za ugenini, ikitoka kuifunga Polisi mjini Dodoma 1-0.
    Kesho, wachezaji wa kigeni wanatarajiwa kuendelea kuonyesha umuhimu ndani ya Simba kwa kuifungia timu hiyo mabao.
    Hadi sasa mabao ya Simba katika Ligi Kuu zaidi yamefungwa na Mnyarwanda Patrick Mutesas Mafisango na Mganda Emanuel Arnold Okwi.     

    REKODI YA SIMBA NA MTIBWA TANGU 2005:
                            P      W     D     L      Gf    Ga   Pts
    Simba SC        12    8      3      1      19    6      27
    Mtibwa Sugar 12    1      3      8      6      19    6
    Septemba 25, 2011
    Simba 1-0 Mtibwa Sugar
    Feb 27, 2011
    Simba 4-1 Mtibwa Sugar
    Sept 29, 2010
    Mtibwa Sugar 0-1 Simba              
    Machi 22, 2009
    Mtibwa Sugar    1-0 Simba  
    Sep 28, 2008
    Simba 1-0 Mtibwa Sugar  
    Apr 21, 2010    
    Mtibwa Sugar    0-4 Simba  
    Nov 15, 2009
    Simba 3-1 Mtibwa Sugar 
    Feb 20, 2008
    Simba 1-1 Mtibwa Sugar 
    Okt 7, 2007
    Mtibwa Sugar    1-3 Simba
    2007: Hazikukutana kwenye Ligi ndogo
    Sept 10, 2006
    Mtibwa Sugar       1-1 Simba
    Apr 9, 2006
    Simba 1-1 Mtibwa Sugar
    Okt 5, 2005
    Simba 2-1 Mtibwa Sugar
    Mei 22, 2005
    Mtibwa Sugar 0-1 Simba  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC KUENDELEZA UBABE WAKE KWA MTIBWA KESHO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top