// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA KUVAA JEZI YANGA, YANGA KUVAA JEZI ZA SIMBA KATIKA MECHI MAALUM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA KUVAA JEZI YANGA, YANGA KUVAA JEZI ZA SIMBA KATIKA MECHI MAALUM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2012

    SIMBA KUVAA JEZI YANGA, YANGA KUVAA JEZI ZA SIMBA KATIKA MECHI MAALUM


    MWENYEKITI wa Zamalek, Mamdouh Abbas ametangaza kwamba mechi ijayo dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Al Ahly itafanyika baadaye mwezi huu.
    Abbas ameaimbia SuperSport kwamba amekubaliana na Mwenyekiti wa Al Ahly, Hassan Hamdy na ofa hiyo imekubaliwa.
    Inayopaswa kutuunga mkono ni Wizira ya Mambo ya Ndani, lakini ninaamini watauidhinisha mchezo huu. Wakifanya hivyo, mechi hiyo itachezwa kati ya Machi ya 23 na 27 " alisema.
    Katika mchezo huo, kila timu itavaa jezi za mpinzani wake ili kuonyesha umoja, hiyo ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya upinzani wa timu hizo.
    Mechi hii inakuja siku chache baada ya kutokea janga la mauaji ya watu 74 lililotokea kwenye mji wa Port Said wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Misri kati ya Al Masry na Al Ahly.
    Je, iko siku katika kujenga umoja, wapinzani wa jadi wa Tanzania nao, Simba na Yanga zitabadilishana jezi? Lakini je, mashabiki tu Misri watakubali wazo hilo? Tusubiri tuone.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA KUVAA JEZI YANGA, YANGA KUVAA JEZI ZA SIMBA KATIKA MECHI MAALUM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top