// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BALAA LA YANGA NA AZAM LEO TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BALAA LA YANGA NA AZAM LEO TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2012

    BALAA LA YANGA NA AZAM LEO TAIFA

    Baadhi ya vitu vilivyovunjwa leo katika vurugu ambazo zilizimwa na mabomu ya machozi ya FFU
    Kado akidaka mbele ya Bocco, huku akipewa ulinzi wenye mashaka na Chacha Marwa
    Niyonzima akivutwa na Dk Juma Sufiani wa Yanga atoke nje baada ya kupewa kadi nyekundu, huku Nsajigwa akizuiwa na refa asimsogelee refa Israel Nkongo kulia. 
    Mashabiki wa Yanga waliotuhumiwa kufanya vurugu wakipelekwa Lupango
    Mshambuliaji wa Azam, John Bocco akishangilia bao la kwanza. Kulia ni beki Said Mourad.

    Kiungo Abdi Kassim wa Azam akimdhibiti mkongwe Geoffrey Bonny wa Yanga.
    Mashabiki wa Azam kwa raha zao


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALAA LA YANGA NA AZAM LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top