// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MKUTANO MKUU TFF KUFANYIKA APRILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MKUTANO MKUU TFF KUFANYIKA APRILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2012

    MKUTANO MKUU TFF KUFANYIKA APRILI


    KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichokutana leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kimeamua Mkutano Mkuu wa mwaka ufanyike mwsihoni mwa mwezi Aprili.
    Mkutano huo, ambao ulishindwa kufanyika mwaka jana kwa mujibu wa Katiba, utajadili ambo mengi ikiwemo suala la kampuni ya Klabu za Ligi Kuu, uanachama wa mikoa mipiya, ambayo ni Katavi, Njombe, Geita, Simiu.
    Aidha, Mkutano huo unatarajiwa kujadili pia taarifa ya mapato na matumizi ya shirikisho pamoja na Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwsihoni mwa mwaka.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKUTANO MKUU TFF KUFANYIKA APRILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top