// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MKOREA WA ARSENAL ASOGEZEWA MBELE KUINGIA JESHINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MKOREA WA ARSENAL ASOGEZEWA MBELE KUINGIA JESHINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, March 16, 2012

    MKOREA WA ARSENAL ASOGEZEWA MBELE KUINGIA JESHINI


    Park Chu-Young
    KOREA Kusini imemruhusu mshambuliaji wa Arsenal, Park Chu-young kuchelewa kwenda jeshini kwa miaka 10.
    Mamlaka ya Jeshi la Korea Kusini imesema leo kwamba, viza ya kuishi Monaco, Ufaransa kwa miaka 10 aliyopewa Park, inamaanisha anaweza kusubiri hadi mwaka 2022. Aliichezea Monaco kuanzia 2008 hadi 2011.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, Park was alitarajiwa kuanza kulitumikia jeshi la nchi hiyo kwa mujibu wa sheria kuanzia mwaka huu au mwakani. Hiyo ni raia watu wasio na ulemavu nchini Korea Kusini. Park alikuwa Nahodha wa Korea Kusini hadi hivi karibuni.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKOREA WA ARSENAL ASOGEZEWA MBELE KUINGIA JESHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top