// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI ATAKA 'KUFIA' BARCELONA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI ATAKA 'KUFIA' BARCELONA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 17, 2012

    MESSI ATAKA 'KUFIA' BARCELONA


    Messi
    MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi anataka kumalizia soka yake kwa mabingwa hao wa Ulaya, ambao anaamini ni moja ya klabu kubwa daima.
    “Ukweli ni kwamba dhamira yangu ni kucheza muda wote Barcelona na kumalizia soka yangu hapa," amesema leo.
    Mchezaji huyo mwenyr umri wa miaka 24, alisema hajawahi kuona timu inacheza soka nzuri kama Barcelona.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI ATAKA 'KUFIA' BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top