// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY, MAN UNITED ZAENDELEZA MAWINDO UEFA NDOGO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY, MAN UNITED ZAENDELEZA MAWINDO UEFA NDOGO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 07, 2012

    MAN CITY, MAN UNITED ZAENDELEZA MAWINDO UEFA NDOGO

    Rooney ataibeba Man United?
    KLABU ya Manchester United wanaendeleza mawindo yao katika Europa League watakapopambana na Atletico Bilbao kesho.
    Ikiwa imetinga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo, baada ya kuitoa Ajax tangu mwaka 1976, United haijakutana na timu hiyo ya Hispania tangu 1957.
    Rejea Bilbao ilipoifunga United 5-3 katika Robo Fainali michuano ya zamani ya Ulaya kabla timu hiyo kuitwa “Busby Babes” na kutinga Nusu Fainali ilipokutana na mabingwa watetezi Real Madrid walioshinda 3-0 kwenye mechi ya marudiano.
    Ikiwa na rekodi ya kushinda mechi moja kati ya nne na kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa hadi kuangukia kwenye Europa League, kiwango cha United katika mechi za nyumbani kipo chini msimu huu na Bilbao ina wachezaji wazuri.
    Bilbao haijawahi kushinda katika mechi saba ilizocheza England, ilifungwa sita, lakini inaweza kupewa moyo na ushindi wa 2-1 wa Ajax mwezsi uliopita dhidi ya United. Ajax ilitolewa kwa matokeo ya jumla ya 3-2. 
    Manchester City watakuwa na kibarua na Sporting Lisbon.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY, MAN UNITED ZAENDELEZA MAWINDO UEFA NDOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top