// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY CHUPUCHUPU KWA STOKE CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY CHUPUCHUPU KWA STOKE CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 24, 2012

    MAN CITY CHUPUCHUPU KWA STOKE CITY

    
    Samir Nasri kushoto
    KLABU ya Manchester City imeambulia pointi moja tu mbele ya Stoke City na kupanfa kileleni mwa Ligi Kuu ya England kwa wastani wa mabao tu dhidi ya Manchester United, ambao sasa wana mchezo mmoja mkononi.
    Baada ya kipindi cha kusisimua, Peter Crouch akiifungia bao la kuongoza Stoke dakika ya 56 jkwa shuti la umbali wa yadi 25, wageni waliteseka na kupata bao la kusawazisha dakika ya 76 kupitia kwa Mwanasoka Bora Afrika, Yaya Toure kwa shuti la umbali wa mita 35 lililombabatiza Ryan Shawcross kwenye kona.
    Wapinzani wa City katika mbio za ubingwa, United sasa wana nafasi ya kupaa kwa wastani wa pointi tatu iwapo wataifunga Fulham Jumatatu.

    MSIMAMO WA LIGI ENGLAND:
                                    P   GD Pts
    1 Man City              30 50  70
    Man Utd                 29 46  70
    3 Arsenal                 30 22  58
    4 Tottenham           30 18  55
    5 Chelsea                30 15  50
    6 Newcastle            29 0    47
    7 Liverpool             30 5    42
    8 Sunderland          30 5    40
    9 Everton                30 -2   40
    10 Swansea             30 -2   39
    11 Norwich             30 -6   39
    12 Stoke                  30 -12 38
    13 Fulham              29 -3   36
    14 West Brom        29 -3   36
    15 Aston Villa        29 -7   33
    16 Blackburn          30 -19  28
    17 Bolton                29 -25  26
    18 QPR                   30 -20   25
    19 Wigan                30 -28   25
    20 Wolves               30 -34   22
    (P ni idadi ya mechi za kucheza, GD ni mabao baada ya kutoa ya kufungwa na Pts ni idadi ya pointi)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY CHUPUCHUPU KWA STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top