// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KWA MOURINHO LA LIGA NDIO MPANGO MZIMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KWA MOURINHO LA LIGA NDIO MPANGO MZIMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 17, 2012

    KWA MOURINHO LA LIGA NDIO MPANGO MZIMA


    Mourinho
    KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho anaweza kuwa na ndoto za kuwa kocha wa kwanza kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara tatu na klabu tatu tofauti, lakini kwake ubingwa wa Ligi Kuu ya nyumbani, La Liga unabaki kuwa dhamira yaek kuu.
    Real inaivaa Malaga wikiendo hii kusaka ushindi wa 22 msimu huu ili kuongeza pengo la pointi dhidi ya mabingwa watetezi, Barcelona ambao tayari kwa sasa wanawaacha kwa pointi 10.
    “Ligi ni mashindano muhimu sana,”alisema.

    MECHI ZA LEO LA LIGA:
    Granada v Sporting Gijon
    Real Zaragoza v Osasuna
    Getafe v Real Sociedad VSevilla v Barcelona
    Rayo Vallecano v Real Betis

    KESHO:
    Levante v Villarreal
    Real Mallorca v Atletico Madrid
    Athletic Bilbao v Valencia
    Real Madrid v Malaga

    KESHOKUTWA:
    Espanyol v Racing Santander
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWA MOURINHO LA LIGA NDIO MPANGO MZIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top