// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIPA MTANZANIA ANG'ARA MICHUANO YA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIPA MTANZANIA ANG'ARA MICHUANO YA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2012

    KIPA MTANZANIA ANG'ARA MICHUANO YA AFRIKA


    Kipa wa Ferroviario, Mtanzania Muharammi Mohamed 'Shilton'

    VIGOGO wa Kenya, Gor Mahia leo wamefungishwa vurago katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa 1-0 Ferroviario ya Msumbiji, inayojivunia kipa Mtyanzania, Muharammi Mohamed Shilton kwenye Uwanja wa Nyayo, Nairobi.
    Matokeo yanamaanisha Gor imefungishwa virago kwa jumla ya mabao 4-1, kufuatia kufungwa 3-0 kwenye mechi ya kwanza mjini Maputo.
    Bao hilo pekee lililoiteketeza Gor lilipatikana dakika ya30, mfungaji Ibraimo Pilate aliyefumua shuti kali la mbali lililomshinda kipa Jerim Onyango. Afrika Mashariki ni timu mbili tu zimebaki kwenye michuano ya Afrika, Simba ya Tanzania na URA ya Uganda ambazo ziote zinacheza Ligi ya Mabingwa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIPA MTANZANIA ANG'ARA MICHUANO YA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top