// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JOHN TERRY ARUDI KAZINI, DI MATTEO ATAMBA ANA KIKOSI CHA USHINDI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JOHN TERRY ARUDI KAZINI, DI MATTEO ATAMBA ANA KIKOSI CHA USHINDI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2012

    JOHN TERRY ARUDI KAZINI, DI MATTEO ATAMBA ANA KIKOSI CHA USHINDI


    John Terry

    NAHODHA wa Chelsea, John Terry anatarajiwa kurejea kazini leo kuiongoza timu yake katika mechi dhidi ya Stoke City, baada ya kukosekana kwa wiki sita zilizopita kutokana na kufanyiwa upasuaji.
    Terry, ambaye hajacheza tangu Januari 28, alimaliza dakikia zote za mchezo akiwa benchi katikati ya wiki, Chelsea ikiitoa Birmingham City katika mechi ya marudio ya Kombe la FA.
    “Amefanya mazoezi vizuri baada ya Jumanne na yupo sawa,”alisema Kocha wa Muda wa Chelsea, Roberto Di Matteo jana.
    “Ni nzuri kwa timu, kwa sababu ni kiongozi wetu na mchezaji muhimu."
    Di Matteo alisema ana kikosi cha kamili cha ushindi kwa mara ya pili tu msimu huu, wakiwemo beki wa kushoto Ashley Cole, aliyekosa mechi ya Jumanne kwa sababu ya maumivu ya kifundo cha mguu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOHN TERRY ARUDI KAZINI, DI MATTEO ATAMBA ANA KIKOSI CHA USHINDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top