// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GWIJI LA WBA LAAGA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GWIJI LA WBA LAAGA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 14, 2012

    GWIJI LA WBA LAAGA DUNIA


    Ray Barlow
    KLABU ya West Bromwich Albion leo imetoa salamu za rambirambi kwa gwiji wake, Ray Barlow kufuatia kifo chake jana akiwa katika umri wa miaka 85.
    Barlow, alijiunga na The Baggies akiwa na umri wa miaka 18 mwaka 1944 na kuichezea timu hiyo mechi 482 na pia aliichezea mechi moja timu ya taifa ya England.
    Mara ya mwisho alikuwamo kwenye kikosi cha The Baggies kilichotwaa Kombe la FA mwaka 1954 wakiifunga Preston mabao 3-2 na mwaka 2004 alitajwa kama mmoja wa wachezaji 16 magwiji wa West Brom katika uchaguzi uliokwenda sambamba na sherehe za miaka 125 ya klabu hiyo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GWIJI LA WBA LAAGA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top