// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FA ENGLAND WAITAKA SANA TEKNOLOJIA, TENA HARAKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FA ENGLAND WAITAKA SANA TEKNOLOJIA, TENA HARAKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2012

    FA ENGLAND WAITAKA SANA TEKNOLOJIA, TENA HARAKA

    Robin Van Persie wa Arsenal akifunga bao dhidi ya QPR katika moja ya mechi za Ligi Kuu
    CHAMA cha Soka England kimeonyesha nia ya kuitaka haraka sana sheria ya kutumia teknolojia kwenye soka, baada ya Queens Park Rangers kukataliwa bao halali katika mechi ya Ligi Kuudhidi ya Bolton walio hatari kwenye hatari ya kushuka daraja leo.
    Video imeonyesha mpira wa kichwa uliopigwa na Clint Hilldakika ya 20ukivuka mstari wa goli, lakini kipa wa Bolton Adam Bogdan akaurudisha mpira huo mchezoni. Matokeo yalikuwa  0-0 wakati huo. Bolton imeshinda 2-1.
    Tukio hilo linakuja wiki moja baada ya Bodi ya Kimataifa ya Soka, watengeneza sheria za soka, kuona umuhimu wa kutumia teknolojia katika soka.
    FA imesema leo itaanza kutumia sheria hiyo mara tu itakapopitishwa rasmi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FA ENGLAND WAITAKA SANA TEKNOLOJIA, TENA HARAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top