// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DAKIKA 45 BUYERN YAPIGA MTU TANO, BALAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DAKIKA 45 BUYERN YAPIGA MTU TANO, BALAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 10, 2012

    DAKIKA 45 BUYERN YAPIGA MTU TANO, BALAA

    Kiungo Mholanzi wa Bayern Munich, Arjen Robben (katikati), Thomas Mueller (wa pili kulia) na Franck Ribery (kulia) wakishangilia na wachezaji wenzao baada ya kufunga mabao katika mechi dhidi ya TSG 1899 Hoffenheim mjini Munich, kusini mwa Ujerumani. Hadi mapumziko, Buyern walikuwa wanaongoza 5-0 mabao ya Gomez dakika ya tano na 35, Robben dakika ya 12 na 29 na Kroos dakika ya 18.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DAKIKA 45 BUYERN YAPIGA MTU TANO, BALAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top