// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); B HITZ YAPAKUA MZIGO MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE B HITZ YAPAKUA MZIGO MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2012

    B HITZ YAPAKUA MZIGO MPYA


    Charz Stunner, Gigga Flo, Ric Boi, Cyrill aka Kid, Pancho Latino Mafia, Jux Vuitton, Nas 3

    STUDIO za B'Hits zimeibuka na mzigo mpya na wa kwanza mwaka huu, uitwao SIRUDI TENA wa msanii Mabeste aliyemshirikisha Jux, ambaye kwa mara ya kwanza atasikika akichana fastan fasta.
    Kama kawa Pancho Latino amesimama kwenye Piano na kuifanya track hiyo ya Mabeste iwe kali kinoma.
    Pamoja na Mabeste kuimba mwenyewe, pia ndiye ameandika wimbo huo ambao kazi nzima ya kuutayarisha imefanywa na Pancho Latino na Mixing na Master imefanywa na Hermy B katika studio za B’Hits Studio 4, Dar es Salaam.
    Habari hizi zimeshushwa kwetu bongostaz kutoka kwa Joachim Lyimo ‘Hermy B’ ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa B Hitz Music Group Ltd.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: B HITZ YAPAKUA MZIGO MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top