// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AVB AONDOKA NA GUNDU LAKE CHELSEA, TIMU YAMSOGELEA MWALI WA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AVB AONDOKA NA GUNDU LAKE CHELSEA, TIMU YAMSOGELEA MWALI WA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 07, 2012

    AVB AONDOKA NA GUNDU LAKE CHELSEA, TIMU YAMSOGELEA MWALI WA FA

    Kiungo Mspanyola wa Chelsea, Juan Mata akikosa kwenye mechi hiyo, Uwanja wa St Andrews mjini Birmingham.
    KLABU ya Chelsea imetinga Robo Fainali ya Kombe la FA jana kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mechi ya marudio dhidi ya Birmingham, ambayo ilikuwa ya kwanza tangu kufukuzwa kwa  Andre Villas-Boas.
    Mabao ya Juan Mata na Raul Meireles skipindi cha pili ndiyo yanayoiwezesha klabu hiyo ya Ligi Kuu kwenda kukutana na timu nyingine ya Daraja la Kwanza,, Leicester.
    Roberto Di Matteo, ambaye amerithi mikoba ya aliyekuwa bosi wake, Villas-Boas’ aliwapiga chini kwenye kikosi cha kwanza Frank Lampard, Didier Drogba, Michael Essien na Daniel Sturridge kwenye mechi hiyo.
    Tottenham inaikaribisha timu ya Daraja la Pili,  Stevenage katika mechi nyingine ya marudio leo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AVB AONDOKA NA GUNDU LAKE CHELSEA, TIMU YAMSOGELEA MWALI WA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top