// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL WAENDA KUCHEZA HONG KONG - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL WAENDA KUCHEZA HONG KONG - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 14, 2012

    ARSENAL WAENDA KUCHEZA HONG KONG


    Van Persie, mashabiki wa Arsenal Hong Kong watafurahi kumuona
    KLABU ya Arsenal itacheza Hong Kong kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 17 katika ziara lake la kujiandaa na msimu mpya barani Asia, baadaye mwaka huu.
    The Gunners watacheza na mabingwa wa Hong Kong, Kitchee FC kwenye Uwanja wa Hong Kong Julai 29, siku mbili baada ya kucheza na Manchester City kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Beijing.
    Ofisas Mtendaji Mkuu wa Arsenal, Ivan Gazidis alisema; “Tuna mashabiki wengi Hong Kong na ajabu kwamba mashabiki hao maalum watapata fursa kukiona kikosi cha kwanza live kazini.”

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL WAENDA KUCHEZA HONG KONG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top