
Saturday, March 31, 2012

JUMA Nyosso ametemwa kwenye kikosi cha kinachoondoka Jumatatu Alfajiri kwenda Algeria kikipitia Misri kwa sababu ameumia kwenye mechi ya ...
MAFISANGO AREJESHWA, NYOSSO, YONDAN HATIHATI KUKOSA SAFARI YA ALGERIA
Saturday, March 31, 2012
MECHI ya leo dhidi ya African Lyon pamoja na Simba kushinda mabao 2-0, lakini imebaini pengo la kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda, Patri...
MAN CITY CHUPUCHUPU, ARSENAL YALALIWA, CHELSEA YAUA
Saturday, March 31, 2012
Torres Theo Mwokozi wa Manchester City, Aleksandar Kolarov KLABU ya Manchester City leo imepata mabao mawili ndani ya dakika...
AZAM KUMKATIA RUFAA CANNAVARO
Saturday, March 31, 2012
Cannavaro akimlinda kipa KLABU ya Azam FC inataka kumkatia rufaa beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wa Yanga kuichezea timu yake katika m...
SIMBA KILELENI, YANGA YA PILI, AZAM YA TATU
Saturday, March 31, 2012
Kikosi cha Simba SIMBA SC jana ilizidi kujinafasi kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuichapa African Lyon maba...
WENGER AFUNGIWA, ATOZWA FAINI
Saturday, March 31, 2012
Wenger KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Euro 40 000 (dola za KImarekani 53,100) kwa kuwavaa ...
GYAN MFALME WA MABAO UMANGANI
Saturday, March 31, 2012
Gyan MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ghana, Asamoah Gyan sasa ni mfungaji bora katika Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), baada ya kufun...
MABILIONEA WATANO WENYE FEDHA CHAFU LAKINI HAWAJAOA
Saturday, March 31, 2012
Alejandro Santo Domingo Akiwa ana umri wa miaka 35, tayari ana utajiri wa dola za Kimarekani Bilioni 9.5. Raia huyo wa Colombia, ambay...
NIZAR KHALFAN ATEMWA PHILADELPHIA UNION MIEZI MITATU TANGU ASAJILIWE
Saturday, March 31, 2012
Nizar akishangilia moja ya mabao yake Vancouver Nizar mazoezini na Philadelhphia Union KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Nizar Kha...
MANCINI HANA IMANI NA BALOTELLI
Saturday, March 31, 2012
Bakitelli kulia na Mancini kushoto KOCHA wa Manchester City, Roberto Mancini amesema katika vita kali ya ubingwa wa Ligi Kuu England,...
MAFISANGO NAYE ABWAGA MANYANGA SIMBA
Saturday, March 31, 2012
MafisangoMAFISANGO KUFUATIA kusimamishwa na uongozi wa Simba, Patrick Mafisango, sasa anataka alipwe fedha zake ili arudi kwao Rwanda....
JELA YAMNG'ANG'ANIA MBAYA WA MUAMBA
Saturday, March 31, 2012
Liam Stacey kulia MWANAFUNZI ameshindwa rufaa yake jana kupinga huku ya kifungo cha kumkashifu kiungo wa Bolton, Fabrice Muamba kweny...
RATIBA LIGI ZOTE KUBWA ULAYA LEO NA MUDA KIBONGOBONGO
Saturday, March 31, 2012
Barclays Premier League | RATIBA Jumamosi Machi 31, 2012 Aston Villa v Chelsea Villa Park Everton v West...
AGUERO NJE MAN CITY IKIIVAA SUNDERLAND LEO, MANCINI ALIA NI UPUMBAVU MTUPU, TEVEZ APEWA 90 ZOTE
Saturday, March 31, 2012
Aguero WAGOMBEA taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya England, Manchester City watamkosa mshambuliaji wao Sergio Aguero katika mchezo wa leo...
BABAYARO AWAPASHA TENGA NA WENZAKE WOTE, AWAITA MUMIANI WA SOKA AFRIKA
Saturday, March 31, 2012
Babayaro akizungumza Nairobi jana RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga na viongozi wote wa kandanda Afrika wamep...
SIMBA, YANGA KAZINI LIGI KUU BARA LEO
Saturday, March 31, 2012
TIMU za Simba na Yanga ambazo zinachuana vikali kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, leo zitakuwa kwenye vi...
Friday, March 30, 2012
TIMU LA SAMATTA UWANJANI KESHO
Friday, March 30, 2012
TP Mazembe BAADA ya kuahirishwa kwa mechi ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), dhidi ya DC Motema Pembe, TP Mazembe...
PICHA YA KWANZA YA MUAMBA AKITABASAMU TANGU AFE KWA MUDA
Friday, March 30, 2012
HII ni picha ya kwanza ya tabasamu ya Fabrice Muamba tangu azimie na kupoteza kufahamu, ambayo imewekwa kwenye Twitter na mpenzi wake. ...
MOURINHO AAMUA KUMUUZA CASILAS, REAL MADRID WAMUAMBIA ATAONDOKA YEYE
Friday, March 30, 2012
Marafiki wa mashaka, Mourinho kulia na Casilas kushoto KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho ameamua kumuuza kipa Iker Casillas mwishoni ...
TIBAIGANA AWAKABIDHI RASMI MABONDIA YANGA HATI YA KUWAVAA COASTAL KESHO
Friday, March 30, 2012
Kikosi cha Yanga MWENYEKITI wa Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Tibaigana amesema kwamba...
REAL ITAVUNA NINI KESHO?
Friday, March 30, 2012
Ronaldo OSASUNA inaweza kumkosa Marc Bertran katika mechi na Real Madrid leo tangu matatizo yake kwenye mechi iliyopita wakishinda Le...
AC MILAN KATIKA MZITO KABLA YA SAFARI YA CAMP NOU
Friday, March 30, 2012
WAKIWA kwenye kiwango kizuri, Catania hakika wanaitia presha vinara wa Serie A, AC Milan. Kocha Vincenzo Montella atawakosa beki Aless...
BARCA NA BILBAO KESHO PATAMU
Friday, March 30, 2012
Dani Alves KOCHA wa Barcelona, Pep Guardiola anaweza kuwapumzisha baadhi ya nyota wake kwa ajili ya mechi ya Jumanne ya Ligi ya Mabin...
Subscribe to:
Posts (Atom)