MECHI ya kwanza ya Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika
kati ya Yanga na Zamalek ya Misiri iliyochezwa Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, imeingiza
kiasi cha Sh Milioni 286, 695.000,00.
Katika mchezo, timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Yanga ikitangulipa kupata bao lililofungwa na Hamisi Kiiza na Zamalek kusawzisha kupitia kwa Amr Zaki.
0 comments:
Post a Comment