MABINGWA wa kombe la Mapinduzi Azam FC
kesho watashuka katika dimba lao la Chamazi lililopo Mbagala Dar es Salaam
kuikaribisha Simba.
echi hiyo ni mahususi kwa kuipa makali
Simba ambayo ipo katika maandalizi ya mechi yake ya marudiano ya kombe la
Shirikisho dhidi ya Kiyovu ya Rwanda itakayopigwa wiki ijayo jijini Dar es
Salaam.
Katika hatua nyingine Simba iliyokuwa
katika programu ya kufanya mazoezi ya viungo sasa imeshamaliza ambapo wameanza
mazoezi ya uwanjani katika viwanja vya TCC Chang'ombe, jijini Dar es
Salaam.
0 comments:
Post a Comment