// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SI UGOMVI, NI SWAGA ZA USHINDI NDANI YA NBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SI UGOMVI, NI SWAGA ZA USHINDI NDANI YA NBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 17, 2012

    SI UGOMVI, NI SWAGA ZA USHINDI NDANI YA NBA

    Wachezaji wa Los Angeles Clippers, Kenyon Martin (2) na Blake Griffin (32) wakigongeshana vichwa katika kushangilia ushindi katika robo ya mwisho ya mechi ya mpira wa kikapu, Ligi ya Marekani, NBA jana, huko Portland, Ore. Los Angeles Clippers iliifunga Portland Trail Blazers 74-71.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SI UGOMVI, NI SWAGA ZA USHINDI NDANI YA NBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top