// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PORTSMOUTH YAFILISIKA, NI TIMU YA KANU ILIYOKUWA TISHIO ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PORTSMOUTH YAFILISIKA, NI TIMU YA KANU ILIYOKUWA TISHIO ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 17, 2012

    PORTSMOUTH YAFILISIKA, NI TIMU YA KANU ILIYOKUWA TISHIO ENGLAND

    KLABU maarufu Portsmouth iliyowahi kutikisa katika Ligi Kuu ya England, imejikuta katika hali mbaya kifedha kwa mara ya pilin ndani ya miaka miwili.

    Mabingwa hao wa Kombe la FA mwaka 2008, wanakabiliwa na adhabu ya kukatwa pointi 10 katika Ligi Daraja la Pili EA England, ambayo itawaacha na pointi kwa tofauti ya mabao tu kwenye eneo la hatari ya kushuka daraja.

    Kampuni mama ya Portsmouth, Convers Sports Initiatives, inatarajifa kufanya mkutano huo Novemba.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PORTSMOUTH YAFILISIKA, NI TIMU YA KANU ILIYOKUWA TISHIO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top