2.
•Msimu wa mwisho Spurs kuifunga Arsenal nyumbani
na ugenini ilikuwa 1992-93), ikishinda 1-0 nyumbani na 3-1 Highbury.
3.
•Tangu Harry Redknapp awe kocha, Tottenham imefungwa
mechi mbili tu katia ya nane ilizowakutanisha wapinzani hao wa London katika
michuano yote, na moja tu katika mechi saba za Ligi Kuuwalizokutana na Gunners.
4.
•Tottenham imeshinda mechi moja tu katika mechi
zao tano zilizopita ugenini.
5.
•Emmanuel Adebayor, kama atacheza, atacheza dhidi
ya timu yake ya zamani katika siku ambayo atakuwa anasherehekea kutimiza miaka 28
ya kuzaliwa.
6.
•Chini ya Arsene Wenger, Arsenal imepoteza mechi
tatu ikiwa katika mazingira ya kushinda msimu huu.
7.
•Lakini timu ya Mfaransa huyo imebeba pointi 10 ikiwa
katika mazingira ya kupoteza, rekodi ya tatu bora katika Ligi.
8.
•Kwa mujibu wa Opta Sports, Theo Walcott
amefanya vizuri katika krosi 14 kati ya 103 alizopiga akiwa katika nafasi nzuri
msimu huu.
9.
•Robin van Persie amefunga mabao 21 katika mechi
20 zilizopita alizoichezea Arsenal.
10. •Arsenal
ina wastani wa kuvuna pointi 1.7 kwa kila mechi, kiwango cha chini zaidi chini
ya Wenger, wakati Tottenham ina wastani wa pointi 2.1 kwa mechi hicho kikiwa
cha juu zaidi tangu Mfaransa huyo atue England.
0 comments:
Post a Comment