HABARI mbaya kwa manazi wa Arsenal, beki lao tegemeo kutokla Ujerumani, Per Mertesacker linatarajiw akuw anje ya Uwanja kwa muda mrefu baada ya kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu, miezi minne tu kabla ya Kombe la Mataifa ya Ulaya.
Mertesacker aliumia kifundo cha mguu wa kulia katika mechi ya Ligi Kuu ya England Jumamosi dhidi ya Sunderland.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger alisema; “Kwa bahati mbaya amefanyiwa upasuaji na tumempoteza yeye kwa muda. Muda gani, sijui. Alikuwa ana matatizo kwenye mguu wake. Hivyo, itakuwa muda mrefu.”
Arsenal inashika nafasi ya nne kwenye Ligi Kuu na iko kwenye hatari ya kuto0lewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufungwa mabao 4-0 na AC Milan juzi kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora.

0 comments:
Post a Comment