WAIMBAJI Aretha Franklin na Stevie
Wonder wanatarajiwa kuimba kwenye maziko ya mwimbaji, Whitney Houston
anayetarajiwa kuzikwa kesho jirani na kanisa alilokuwa akiimbia utotoni New Hope
Baptist la Newark. Mwimbaji Kristen Foster pia
amethibitisha kushiriki kuimba katika maziko hayo akiwa amepewa mualiko na mume
wa zamani wa Houston, Bobby Brown. Wengine wataoshiriki ni mwanamuziki
nguli, Clive Davis, anatarajiwa kuzungumza katika maziko hayo, mwimbaji wa
injili na rafiki mkubwa wa familia Marvin Winans. Wengine wanaotarajiwa kushiriki katika
maziko hayo ni Donnie McClurkin, Tyler Perry, Kim Burrell, Rickey Minor, Alicia
Keys, Dionne Warwick na Cece Winans, Foster na wengineo. Houston alifariki jumamosi jijini
Beverly Hills, California akiwa na umri wa miaka 48.
Raiders Rumors: 'A Lot of Momentum Building' For Lions' Ben Johnson to Be
Hired as HC
-
The buzz surrounding Detroit Lions offensive coordinator Ben Johnson as a
head coaching candidate is growing louder ahead of the divisional round.
There is...
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment