
Henry na mdau mmoja wa klabu yake Kongsvinger ya Norway wakifurahi pamoja

Henry akinywa maji wakati wa mazoezi na klabu ya Kongsvinger nchini Norway

Henry akijifua na klabu yake mpya Kongsvinger

Moja kati ya picha za Henry zilizopambwa kwenye tovuti ya Kongsvinger, ikiambatana na makala yake ndeeefu. Hapa alikuwa akiiongoza Tanzania katika mechi dhidi ya Ivory Coast mjini Abidjan, ambako bao pekee la Mrisho Ngassa lilitupa ushindi wa 1-0.

Henry akiwa mwenye furaha baada ya kuhakikishiwa maisha Norway. mshahara mtamu, nyumba na gari nzuri. Aah mungu ampe nini zaidi ya jitihada ili afanikiwe zaidi. INSHAALLAH.
0 comments:
Post a Comment