
Friday, April 24, 2009

KIPA mahiri nchini, Juma Kaseja amesema taarifa mbalimbali kuhusiana na usajili wa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara unamweka katika wakat...
Saturday, April 18, 2009
TEGETE AIOKOA YANGA KUZAMA KWA SIMBA
Saturday, April 18, 2009
BAO lililofungwa na mshambuliaji wa timu ya Taifa na klabu ya Yanga, Jerry Tegete katika dakika za lala salama za mchezo ziliiwezesga timu y...
KONDIC AMPA DARASA KASEJA
Saturday, April 18, 2009
Kaseja kwenye basi la Yanga wenzake baada ya mazoezi KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Profesa Dusan Kondic, amesema kipa Juma...
YANGA WAHAMISHIA KAMBI DAR
Saturday, April 18, 2009
NYASI za Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam, zinatarajiwa kuwaka moto kesho, wakati miamba miwili ya soka Tanzania, Simba na Yanga, zenye mask...
NGASSA MAMBO SAFI UK, AITAKIA HERI YANGA
Saturday, April 18, 2009
PAMOJA na kuitakia heri Yanga kwenye mchezo wake wa leo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba, winga wa klabu hiyo, Mrisho Ngassa (pichani), am...
MGOSI AENDA INDIA AKIITAKIA HERI SIMBA
Saturday, April 18, 2009
MSHAMBULIAJI bora nchini, Mussa Hassan Mgosi wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, aliondoka jana jioni kwenda India kufanya majaribio ya kuji...
Thursday, April 16, 2009
REFA WA SIMBA, YANGA UTATA MTUPU
Thursday, April 16, 2009
MWAMUZI Israel Nkongo wa Dar es Salaam ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi nchini Simba na Yanga itakayochezwa Jumapili kwenye Uwa...
REDD'S ORIGINAL KUDHAMINI UREMBO DAR
Thursday, April 16, 2009
Meneja Masoko wa TBL, David Minja KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kinywaji chake cha Redd’s wametangaza udhamini wa mashindano ya ure...
MGOSI AONDOKA KESHO KWENDA INDIA
Thursday, April 16, 2009
MSHAMBULIAJI bora nchini, Mussa Hassan Mgosi (pichani akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Harambee Stars ya kenya) wa klabu ya Simba ya Dar...
Tuesday, April 14, 2009
MTIBWA YAIPA AHUENI SIMBA
Tuesday, April 14, 2009
MSHAMBULIAJI Abdallah Juma leo ameendeleza cheche zake za ufungaji mabao, baada ya kuifungia Mtibwa Sugar bao la kusawazisha dakika 20 ilipo...
AMBANI ANG'OLEWA JINO BAGAMOYO
Tuesday, April 14, 2009
MPACHIKA bao bora Tanzania, Boniphace Ngairah Ambani, juzi alilazimika kung’olewa jino lake moja na daktari, baada ya kuumia mazoezini kweny...
KONDIC ANATISHIWA MAISHA YANGA
Tuesday, April 14, 2009
KOCHA wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Profesa Dusan Kondic (pichani akiwa Flavio wa Angola) amesema kwamba kuna watu wanamtumia ujumbe w...
Monday, April 13, 2009
EEH MUNGU MFUNGULIE NJIA NYOTA HUYU...
Monday, April 13, 2009
Winga wa Yanga mwenye kasi na chenga za maudhi, Mrisho Khalfan Ngassa aliondoka jana kwenda Uingereza kufanya majaribio ya kujiunga na klabu...
AMBANI ANATAKA BAO NNE MECHI MBILI
Monday, April 13, 2009
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Boniphace Ambani (pichani kulia akisalimiana na Blatter rais wa FIFA) amesema anataka kufun...
NURDIN: MIMI NABAKI YANGA
Monday, April 13, 2009
BEKI anayemudu kucheza kama kiungo pia, Nurdin Bakari Hamadi (pichani mwenye rasta) amesema kwamba hana mpango wa kurejea klabu yake ya zama...
JABIR AZIZ AIBEBA SIMBA
Monday, April 13, 2009
BAO lililofungwa na kiungo wa ulinzi, Jabir Aziz (pichani) katika dakika ya 89, jana liliipa Simba pointi tatu muhimu baada ya kuilaza Toto ...
MGOSI APIGWA STOP NA TFF
Monday, April 13, 2009
WAKATI zimebaki siku saba kabla ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga, klabu ya Simba imepata pigo kutokana na nyota wake mwenye ngeke...
Saturday, April 11, 2009
TFF WAKUTANA LEO, MGOSI ATAPONA?
Saturday, April 11, 2009
WAKATI Ligi Kuu ya Tanzania bara inaelekea ukingoni, kamati ya mashindano itakutana leo kujadili mwenendo mzima wa ligi ikiwa ni pamoja na m...
STARS KUJIPIMA KWA MABINGWA WA CHAN
Saturday, April 11, 2009
TIMU ya Soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajiwa kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Timu ya Soka ya Jamhuri ya Kidemo...
Friday, April 10, 2009
HABARI KATIKA PICHA...
Friday, April 10, 2009
Kocha Salum Mayanga wa Mtibwa Sugar akimbembeleza mchezaji wake Yussuf Mgwao Vivosile wa Yanga, Emanuel Mpangala katikati na Majjid Suleim...
MISS UTALII WATANGAZA TENDA...
Friday, April 10, 2009
WAANDAAJI wa mashindano ya Miss Utalii Tanzania, kampuni ya Miss Tourism Tanzania Beauty Pageant na kamati ya Taifa ya Miss Utalii Tanzania,...
NGASSA: NITAJITUMA KWA BIDII YANGU YOTE
Friday, April 10, 2009
MRISHO Khalfan Ngassa anayeondoka Jumapili hii kwenda England kufanya majaribio katika klabu ya West Ham United, amesema kwamba atafanya bid...
MARSH: HAKUNA WA KUFURUKUTA TENA KWA AZAM
Friday, April 10, 2009
KOCHA wa Azam FC, Sylvester Marsh aliyechukua mikoba kuinoa timu hiyo baada ya kutimuliwa kwa Neider dos Santos, amesema hivi sasa wanahitaj...
PRISONS ILIPOBANWA NA JKT RUVU DAR...
Friday, April 10, 2009
Mshambuliaji wa timu ya Prisons ya Mbeya, Ramadhan Katamba (kushoto) akiwania mpira na Kessy Mapande wa JKT Ruvu wakati wa mechi ya Ligi Ku...
ETI KIPIGO CHA AZAM KIMEMUUMA SANA KISASA YANGA
Friday, April 10, 2009
KATIBU Mkuu wa Yanga, Lucas Kisasa amesema kipigo ilichokipata timu yake kutoka kwa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara juzi, ni cha aibu....
YANGA KUENDELEA KUGAWA POINTI KESHO?
Friday, April 10, 2009
TANGU imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya soka ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga ya Dar es Salaam haijawahi kushinda mechi, jambo ambalo linachukul...
Thursday, April 09, 2009
YANGA BILA MZUNGU ITAPONA KWELI?
Thursday, April 09, 2009
KIPA aliyedaka katika mechi ya Yanga dhidi ya watani wao wa jadi, Simba Mserbia Obren Curkovic hivi sasa yuko kwao Serbia kabla ya...
YANGA YAIZAWADIA POINTI TATU AZAM, YAJIEPUSHA NA BALAA LA KUHSUKA DARAJA
Thursday, April 09, 2009
AZAM imetoka kifua mbele baada ya kuifunga Yanga mabao 3-2 katika mechi ya Ligi Kuu, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mab...
LUNDENGA AUNGURUMA DAR
Thursday, April 09, 2009
KUTOKANA na kauli mbiu ya kumtafuta Miss Tanzania mwaka huu kulenga sekta ya utalii, Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga...
Tuesday, April 07, 2009
SIMBA WAPATA AJALI WAKITOKEA BUKOBA
Tuesday, April 07, 2009
WACHEZAJI wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam juzi usiku walipata ajali wakiwa njiani kurejea nyumbani, kutoka Bukoba walikokwenda kumenyana ...
POLISI WAKAMATWA KWA KULANGUA TIKETI ZA YANGA NA AL AHLY
Tuesday, April 07, 2009
ASKARI Polisi wawili wametiwa mbaroni jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za ulanguzi wa tiketi za mchezo wa Yanga na Al Ahly uliochezwa mwishon...
Sunday, April 05, 2009
SIMBA YAKAMATA NAFASI YA PILI
Sunday, April 05, 2009
MABAO mawili yaliyofungwa na mshambuliaji Mnigeria, Emeh Ezuchukwu (pichani) jana yaliipa Simba ushindi 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vod...
KONDIC KUUZA WACHEZAJI 11 YANGA
Sunday, April 05, 2009
KOCHA wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Profesa Dusan Kondic (pichani kulia) amesema kwamba baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afri...
Saturday, April 04, 2009
MATOLA AMPA VID0NGE MWAKALEBELA
Saturday, April 04, 2009
Matola akiwa na Emanuel Gabriel katikati na Shekhan Rashid kulia enzi zao Simba SC KIUNGO wa zamani wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Sul...
SIMBA KUENDELEZA UBABE KWA KAGERA?
Saturday, April 04, 2009
Haruna Moshi 'Boban' wa Simba katika moja ya mechi za timu yake, ataibeba timu yake Kaitaba? SIMBA ya Dar es Salaam, kesho inashuka...
Subscribe to:
Posts (Atom)