
Wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT) kinachodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, Juma Mataruma (kushoto) na Msami Giovan wakilia 'kuombolezo kifo' cha Kauye Adam wakati wa maigizo katika hafla maalumu iliyoandaliwa kwa wanafunzi wa shule za sekondari za Dar es Salaam juzi, yanayoelimisha kuhusu mbinu za kupambana na maradhi ya UKIMWI na matumizi ya dawa za kulevya.
0 comments:
Post a Comment