
Monday, March 30, 2009

Mgosi na Dalali WANACHAMA wa klabu ya Simba tawi la Tanga, wanamataka Mussa Hassan Mgosi aende kuwakakabidhi kadi za uanachama. Mgosi amekuw...
TBL, LUNDENGA KUNANI TENA MISS TANZANIA?
Monday, March 30, 2009
Meneja wa kinywaji cha Redd's, George Kavishe alipokuwa akimtambulisha balozi mpya wa kinywaji hicho, Angela Lubala (kulia), mwingine ni...
AL AHLY YAJIFARAGUA NA NYASI BANDIA ZA UHURU
Monday, March 30, 2009
MABINGWA mara sita Afrika, Al Ahly ya Misri wamedai hawahofii kucheza kwenye Uwanja wa nyasi za bandia (Uhuru mjini Dar es Salaam) katika m...
MVUA YAITIBULIA SIMBA TAIFA
Monday, March 30, 2009
MVUA kubwa iliyonyesha kwenye baadhi ya maeneo Dar es Salaam jana, ilisababisha mchezo wa Ligi Kuu soka ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Si...
Saturday, March 28, 2009
AKINA OWINO HOI KWA WAARABU NYUMBANI
Saturday, March 28, 2009
George Owino wa Yanga akiichezea timu yake ya taifa, Kenya dhidi ya Tanzania, hapa anamtoka kiungo wa Yanga, Mrisho Ngasa aliyeanguka chini,...
YANGA WAIANGUSHA SIMBA DAR
Saturday, March 28, 2009
YANGA jana ilishindwa kulipa kisasi kwa Kagera Sugar ya Bukoba, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Uhuru, zamani Taifa, mjin...
MA PRO WA YANGA KAZINI LEO KENYA, IVORY COAST
Saturday, March 28, 2009
Mmoja wa wachezaji wa Yanga walio kazini kwenye timu za za taifa, Ben Mwalala BONIPHACE Ambani, George Owino na Ben Mwalala, wachezaji wa Y...
JAY NA SHEMEJI YAKE KWA LORD EASY...
Saturday, March 28, 2009
Nyota wa muziki wa Hip hop nchini, Profesa Jay (kulia) akiwa na msanii mwingine wa Hip hop Lord Eyes au Lord Easy wa kundi la Nako2Nako. kat...
BUSHOKE KUZINDUA ALBAMU BUKOBA
Saturday, March 28, 2009
MSANII Rutta Bushoke (pichani kulia) anatarajiwa kufanya maonyesho la kutambulisha albamu yake mpya, iitwayo Dunia Njia mjini Bukoba Aprili ...
KIFUKWE, MALINZI WALIFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU YANGA
Saturday, March 28, 2009
ALIYEKUWA rais wa Yanga, Francis Kifukwe na Katibu Mkuu wake, Jamal Malinzi enzi za uongozi wao kwenye klabu hiyo. Jamaa hawa waliiongoza k...
MBUNA NAHODHA MWENYE NGEKEWA JANGWANI
Saturday, March 28, 2009
Freddy Mbuna ni Nahodha mwenye ngekewa ya kipekee ndani ya Yanga, kwani msimu huu atanyanyua Kombe la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa...
WANAFUNZI WA JANGWANI WALIPOZURU THT...
Saturday, March 28, 2009
Jangwani: Wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT) kinachodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, wakiwa kat...
HUYU NDIYE PATRICK PHIRI, KOCHA WA WEKUNDU WA MSIMBAZI
Saturday, March 28, 2009
KATIKA kujiwekea mazingira ya kufanya vizuri kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Soka Tanzania Bara, klabu ya Simba imeamaua kumrejesha kocha al...
AMIR MHANDO WIKI HII; NG'OMBE ANAYECHELEWESHA MSAFARA...
Saturday, March 28, 2009
(KULIA NI MWANDISHI WA MAKALA HAYA, AMIR MHANDO) WIKI hii naamini mashabiki wa Yanga ya Dar es Salaam watakuwa na furaha zaidi baada ya timu...
YANGA YAWAPELEKA SHAMBA LA BIBI AL AHLY
Saturday, March 28, 2009
MECHI ya marudiano, raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji Yanga na Al Ahly ya Misri, itachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, za...
SIMBA LEO MASWAHIBA WA YANGA SHAMBA LA BIBI
Saturday, March 28, 2009
MSHABIKI wa Simba leo watakuwa na kila sababu ya kuwashangilia watani wao jadi, Yanga wakati watakapomenyana na Kagera Sugar ya Bukoba kweny...
ZUHURA: MWANAMITINDO NA MWANAMUZIKI
Saturday, March 28, 2009
Zuhura Mrisho Watuta katika picha tofauti: Zuhura pamoja na kuwa mwanamitindo, aliwahi kufanya kazi ya kupaka rangi magari na nyumba, ambay...
MLIOSOMA JITEGEMEE, MNAMKUMBUKA KIMWANA HUYU?
Saturday, March 28, 2009
Kwenu mliosoma Jitegemee sekondari, Dar es Salaam. Mnamkumbuka huyu kimwana? Anaitwa Mwajuma Mkonya kwa sasa yupo UK na ndiye mama wa mtoto...
Friday, March 27, 2009
ULAMAA, MWANAZUONI ALIYEKOMAA UKIPENDA MWITE TRAVELLER...
Friday, March 27, 2009
Mwanamuziki wa Hip hop, Msafiri Kondo maarufu kwa majina kama Ulamaa, mwanazuoni aliyekomaa, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo mpya, Travell...
Watanzania wa ughaibuni wampongeza Kikwete kwa mafanikio ya Stars
Friday, March 27, 2009
WATANZANIA waishio nchini Comoro wamempongeza Rais Jakaya Kikwete (pichani juu) kwa kuiweka nchi katika kiwango kizuri katika michezo hasa s...
SIMBA YAPUMULIA MASHINE, YANGA CHEREKO
Friday, March 27, 2009
Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali akiwa Mussa Mgosi WAKATI Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ikikaribia ukingoni, matumaini ya timu ya Simba ...
NASSIB PRESHA INAPANDA- PRESHA INASHUKA TFF
Friday, March 27, 2009
SIKU za Ramadhan Nassib (pichani kulia) kuendelea kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimeanza kuhesabika baada...
YANGA WAANZA KUSAKA FEDHA ZAO ZA GTV
Friday, March 27, 2009
KLABU ya Yanga imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kusaidia kupatikana kwa haki yao malipo yaliyotokana na udhamini wa televisheni y...
Tuesday, March 24, 2009
WAARABU WAANZA VITUKO MAPEMA
Tuesday, March 24, 2009
MECHI YA MARUDIANO LIGI YA MABINGWA... Ahly waanza visa mapema .Waikwepa hoteli ya wenyeji, wajilipia Movenpick WAPINZANI wa Yanga Raundi ya...
BOBAN BADO AIOTA NAFASI YA PILI SIMBA
Tuesday, March 24, 2009
KIUNGO wa klabu ya Simba ya Dar es salaam, Haruna Moshi ‘Boban’, (pichani kulia) amesema licha ya kufungwa na Mtibwa Sugar 1-0 Jumapili ili...
WAKALA WA FIFA SAID TULLY PICHANI...
Tuesday, March 24, 2009
Tuli na Tico Tico wa Msumbiji, kushoto ni mwenyewe akiwa peke yake chini akiwa na mkewe Asteria. Picha nyingine yuko na Sam Eto'o Wakal...
KASEJA AIBEBESHA YANGA UBINGWA
Tuesday, March 24, 2009
Kaseja alipokuwa akisaini kuichezea Yanga Mwanza, Tanzania JUMA Kaseja Juma, kipa aliyedakia Simba kwa miaka saba tangu mwaka 2002 kabla ya ...
Friday, March 20, 2009
OWINO, AMBANI MWALALA WAFUATA MAKALI NYUMBANI
Friday, March 20, 2009
WACHEZAJI wa kimataifa wa Kenya wanaochezea klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Ben Mwalala, Boniphace Ambani, na George Owino waliondoka Juma...
MAMBO YA THT HAYO...
Friday, March 20, 2009
Wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT) kinachodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, Juma Mataruma (kusho...
MBUNGE AZZAN ATOA NASAHA THT
Friday, March 20, 2009
Ruge na Azzan wakishuhudia mambo ya THT WANAFUNZI na jamii kwa ujumla wameaswa kutumia vyema elimu kwa njia ya sanaa ya maigizo inayotolewa...
Subscribe to:
Posts (Atom)