
Friday, February 27, 2009

TIMU ya Simba kesho inapambana na JKT Ruvu katika mchezo wa kirafiki wa kusherekea ufunguzi wa uwanja wa Kinesi. Katibu Mkuu wa Chama Cha so...
STARS NI KUFA NA KUPONA KWA ZAMBIA
Friday, February 27, 2009
Kikosi cha Stars juu kabisa na Zambia chini, kesho kazi ipo TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho inatupa karata yake ya mwisho ya ku...
USIKU WA MWAFRIKA WAANZA KUNOGA TENA BILLICANAS
Friday, February 27, 2009
ILIKUWA kama mambo yanaanza upya taratibu ndani ya ukumbi wa maraha, Club Billicanas, ulipofunguliwa upya, baada ya ukarabati wake, lakini s...
JINSI TAIFA STARS ILIVYOITOA IVORY COAST...
Friday, February 27, 2009
Nahodha wa Stars, Henry Joseph nyuma ya mchezaji wa Ivory Coast na abdul mohammed, abidjan KITENDO cha timu ya Taifa ya Tanzania kuwalaza w...
Thursday, February 26, 2009
PHIRI AIPIGIA UPATU ZAMBIA
Thursday, February 26, 2009
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Patrick Phiri ameipa timu ya soka ya Chipolopolo ya Zambia nafasi ya kushinda mechi ya...
DIHILE, NIZAR WACHUKULIWA VIPIMO CHAN
Thursday, February 26, 2009
Dihile (kushoto) hapa akiogolea na Erasto Nyoni, wote wa Ivory Coast na Stars WACHEZAJI wawili wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, in...
SAKATA LA WACHEZAJI YANGA KUFUKUZWA HOTELINI, MADEGA ATOA UFAFANUZI
Thursday, February 26, 2009
Hii ndio nyumba waliyopangiwa wachezaji wa Yanga kutoka Kenya SIKU moja baada ya wachezaji wa kigeni wa Yanga kutimuliwa katika hoteli waliy...
YANGA WATUPIWA VIRAGO LAMADA
Thursday, February 26, 2009
WACHEZAJI wawili wa kimataifa wa Kenya wanaochezea Yanga, Boniface Ambani na George Owino, wametishia kuondoka nchini leo kurejea kwao, baad...
STARS YAIFUNGISHA VIRAGO IVORY COAST
Thursday, February 26, 2009
Ngassa aliyeruka juu akifunga bao katika mechi dhidi ya Sudan, ambayo iliipa Tanzania tiketi ya CHAN BAO la kichwa cha mbizi la winga macha...
Wednesday, February 25, 2009
SIKIA KILIO CHA JELLAH MTAGWA...
Wednesday, February 25, 2009
UNAPOZUNGUMZIA wachezaji mahiri nchini ambao ni kati ya waliyoiweka Tanzania katika medani za juu kisoka, basi miongoni mwao huwezi kuacha ...
ABEBE BIKILA: MWAFRIKA WA KWANZA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI
Wednesday, February 25, 2009
ILIKUWA ni katika michuano ya Olimpiki ya mwaka 1960, mjini Rome, Italia wakati Abebe Bikila (pichani juu) alipoweka rekodi ya kuwa Mwafrika...
CHUJI SAFI, KUIVAA IVORY COAST LEO
Wednesday, February 25, 2009
na abdul mohammed, abidjan KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo pamoja na kumkosa kiungo Geoffrey Boniface aliyeumia kwenye...
MAXIMO AMPA DARASA BOBAN
Wednesday, February 25, 2009
Boban kulia akimtoka mchezaji wa Sudan KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, taifa Stars, Marcio Maximo kwa pamoja na baadhi ya viong...
AL AHLY YAPATA PIGO, YANGA CHEREKO
Wednesday, February 25, 2009
CAIRO, Misri WASWAHILI wanasema adui muombee njaa, naam bila shaka hizi zitakuwa habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa Klabu ya Yanga ya ...
KUMBE 'MINAZI' YA SENEGAL NDIO ILIILEWESHA STARS!
Wednesday, February 25, 2009
Hizi ndio ndumba za Senegal na abdul mohammed, Abidjan VITENDO vya ushirikina vimeonekana kupewa umuhimu wa kipekee na timu ya Taifa ya Sene...
Tuesday, February 24, 2009
CHAN NI MASHINDANO MAGUMU- NSAJIGWA
Tuesday, February 24, 2009
na abdul mohammed, abidjan NAHODHA wa timu ya taifa, Shadrack Nsajigwa amesema kwamba michuano ya CHANinayoendelea nchini Ivory Coast ni mig...
MAXIMO: WATOTO WALICHEZA TOFAUTI NA MIPANGO YANGU
Tuesday, February 24, 2009
na abdul mohammed, abidjan KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Marcio Maximo amesema kwamba timu yakeilicheza chini ya kiwango katika m...
Monday, February 23, 2009
KESHA KWA RAHA ZAKE
Monday, February 23, 2009
Mwanamuziki Keisha akiwa amtulia akiimba kwenye uzonduzi wa tuzo za Kili Tanznia
PROF JAY, LORD EYES NA RAY C...
Monday, February 23, 2009
Profesa Jay kulia akiwa na rapa wa kundi la Nako2Nako Soldier, Lord Eyes ambaye yupo na mchumba wake, Ray C. Hapa walikuwa katika uzinduzi ...
HAWA SIYO MAHUJAJI KABISAA...
Monday, February 23, 2009
Hawa si mahujaji, ni wanamuziki wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta' walipokuwa wakiwasili nchini wiki iliyopita kutoka Oman, ...
HENRY JOSEPH KAZINI ABIDJAN
Monday, February 23, 2009
Mchezaji wa Senegal, Cheickh Mame Diaollo (kushoto) akiwania mpira na Henry Joseph wa Taifa Stars katika picha hizo mbili za juu
STARS YALALA KWA SENEGAL
Monday, February 23, 2009
abdul mohammed, abidjan BAO la kichwa la kipindi cha kwanza lililofungwa na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Senegal, Simba wa Teranga, Mama...
WATATU STARS ULAYA NJE NJE
Monday, February 23, 2009
Nizar Khalfan wa Tanzania akimtoka mchezaji wa Senegal *** na abdul mohammed, abidjan, Ivory Coast WACHEZAJI watatu wa timu ya Taifa, Taifa ...
Saturday, February 21, 2009
MANJI ATOA FUNGU YANGA KUIUA AHLY
Saturday, February 21, 2009
Manji akiwa na rais wa zamani wa Yanga, Francis Kifukwe MFADHILI wa klabu ya Yanga, Yussuf Manji, ameahidi kuwapa viongozi wa klabu hiyo, fu...
FRANCIS LUCAS HATUNAYE DUNIANI
Saturday, February 21, 2009
Francis Lucas mwenye kapelo, akiwa na Mwenyekiti wa Yanga, Imani Madega enzi za uhai wake. Hapa wanazungumza na Waandishi wa Habari. KATIBU ...
Subscribe to:
Posts (Atom)