Mmoja wa wacheza sarakasi wa kikundi cha Zain Mama Afrika
Sarakasi, Athuman Ford 'Wabogojo' akionyesha vimbwanga wakati wa
mazoezi ya viungo ya kikundi hicho Dar es Salaam jana. Wachezaji hao
wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya maonyesho ya sarakasi ya Zain
yatakayohamishiwa viwanja vya Biafra, Kinondoni mwishoni mwa mwezi huu

1 comments:
JAMAA NI MKALI SIJUI KAMA KIPAJI ALICHONACHO KINAMNUFAISHA KWELI,KAMA VP SERIKALI IWATAZAME WATU KAMA HAO KWANI WANALIACHA DILI LINAPITA TU KWEUPE.
Post a Comment