Miriam Odemba akiwa na mama Salma Kikwete
Asante sana dada Maria Sarungi kwa kumrudisha kwenye chati binti huyu ambaye dhahiri alikuwa amekwishapotea kwenye ulimwengu wa uanamitindo.
Alikwishaanza kusema mara anataka awe muigizaji, mara awe mwanamuziki mambo hayo awaachie wenyewe akiwana Ray C na Joahri. Yeye kwenye suala hili, hakika atakumbukwa daima. Asante sana Maria Sarungi. waibue ibue na wengine wengine waliopotea kama Mbiki Msumi, Annet Dotto Nusurupia.
0 comments:
Post a Comment