Aggrey Marealle anayeratibu mashindano ya Riadha ya kimataifa, Kilimanjaro Marathon kupitia kampuni yake ya Executive Solutions. mwaka huu mashindano hayo yatafanyika mjini Moshi kama kawaida, Machi Mosi, chini ya udhamini Mkuu wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager. hapa yuko na mkewe, Cecy ambaye alikuwa Miss Temeke 2004.
Knicks and Bucks advance to NBA Cup knockout stage
-
The New York Knicks and Milwaukee Bucks earn their places in the NBA Cup
quarter-finals with decisive wins.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment