Saturday, January 31, 2009
Boniphace Ambani katikati akishangilia moja ya mabao yake manne aliyofunga ILIKUWA shangwe tupu kwa mashabiki wa Yanga Jumamosi Januari 31,...
MAMBO YALIVYOKUWA LAGOS 1980...
Saturday, January 31, 2009
Nahodha wa Taifa Stars, Henry Joseph (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Mauritius katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za ...
Friday, January 30, 2009
MIEMBENI YAWAFUATA WAZIMBABWE KIFUA MBELE
Friday, January 30, 2009
Kipa wa Miembeni, Farouk Ramadhan KOCHA wa wawakilishi wa Zanzibar kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika timu ya Miembeni, Mkenya Tom Olaba...
MAMBO YAIVA COPA COCA COLA MWANZA
Friday, January 30, 2009
VIONGOZI wa vyama vya soka vya wilaya za Mwanza wametakiwa kuchukua fomu za ushiriki wa mashindano ya Copa Coca Cola yatakayowahusisha vijan...
MABONDIA MORO WATAMBA KUSHINDA
Friday, January 30, 2009
Francis Cheka atakayepigana na Matumla pambano kuu BAADHI ya mabondia watakaotetea mikanda yao katika michezo ya utangulizi kabla ya pambano...
VODACOM KUTUMIA MIL 65 KUIBUA VIPAJI MWANZA
Friday, January 30, 2009
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom kupitia programu yake ya Cheza na Vodacom imetoa Sh. milioni 65 kwa ajili ya kuibua vipaji vya michezo...
KIFAA HIKI NACHO NI HATARI
Friday, January 30, 2009
Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Bakari Kondo (kulia) akichuana na beki wa Azam FC Boniphace Pawasa katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom ...
WANARIADHA MAARUFU WAJA KILI MARATHON
Friday, January 30, 2009
WANARIADHA maarufu duniani wanatarajia kushiriki kwenye mbio za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika mjini Moshi Machi 1 mwaka huu. John Add...
Thursday, January 29, 2009
DIMBA, BINGWA WADHAMINI ONYESHO LA LADY IN RED
Thursday, January 29, 2009
Hawa Ismail, mmoja wa wanamitindo maarufu wa Kitanzania, anayeishi Afrika Kusini kwa sasa, je atakuwepo kwenye Lady in Red? KAMPUNI ya New H...
MASHABIKI YANGA WAWAJERUHI WACHEZAJI MTIBWA
Thursday, January 29, 2009
Kipa wa Mtibwa Kado aliyedaka mpira WACHEZAJI wa Mtibwa Sugar, Shaaban Kado, Salum Ussi na Uhur...
SIMBA YAIPUMULIA NYUMA YANGA
Thursday, January 29, 2009
Emeh Izuchukwu akikokota mpira SIMBA jana iliwabwaga wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF), Prisons ya...
Tuesday, January 27, 2009
NGASSA AIPAISHA YANGA LIGI KUU
Tuesday, January 27, 2009
Mrisho Ngassa mfungaji wa bao pekee la Yanga BAO pekee la Mrisho Khalfan Ngassa, leo Jumanne limeiwezesaha Yanga kuzidi kuusogelea ubingwa ...
Monday, January 26, 2009
ZAIN KAMPUNI BORA YA MAWASILIANO AFRIKA
Monday, January 26, 2009
Dar es Salaam, Januari 26, 2009 Zain Group, imetajwa kuwa kampuni bora ya mawasiliano inayoongoza Afrik na Mashariki ya Kati mwaka 2008 na j...
MAULID DILUNGA: Nyota wa kombaini ya Afrika 1973
Monday, January 26, 2009
Dilunga mwenye suti nyeusi pichani kabla ya mechi ya ufunguzi Uwanja mpya, Taifa Stars The Cranes, mwaka 2007. Nilipata fursa ya kufanya mah...
SARAKASI YA ZAIN YAHAMIA BIAFRA
Monday, January 26, 2009
Archelle Eric: Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa maelekezo ...
POLISI ASHINDA RAV4 YA ZAIN SUMBAWANGA
Monday, January 26, 2009
Daniel ole Njoolay: Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Daniel ole Njoolay (kushoto) akikabidhi ufunguo na mfano wa ufunguo kwa mshindi wa kumi wa zawad...
PHIRI AWALILIA HENRY JOSEPH, EMEH
Monday, January 26, 2009
Patrick Phiri, kocha wa Simba KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amekiri kuwa kuondo...
BANKA NJE MIEZI MIWILI SIMBA
Monday, January 26, 2009
Banka wa pili kutoka kulia walioinama katika kikosi cha Simba mwaka 2007 KIUNGO wa Simba, Mohamed Banka, atakuwa nje...
Saturday, January 24, 2009
TWANGA PEPETA YATIMKIA MUSCAT
Saturday, January 24, 2009
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakifanya vitu vyao BENDI ya muziki wa dansi ya African Stars maarufu kwa j...
JKT RUVU YAIBWAGA AZAM DAR
Saturday, January 24, 2009
Akiwa mwenye mawazo na majonzi baada ya timu yake kulala 2-0 mbele ya Simba wiki iliyopita, ni Kocha wa Villa Squad, Kenny Mwaisabula ambaye...
TFF INAPOLEA MADUDU, SOKA ITAENDELEA KWELI?
Saturday, January 24, 2009
Rais wa TFF, Leodegar Chilla Tenga ...
CHUJI: NINA HAMU KWELI NA HUYO ABOUTREIKA WENU
Saturday, January 24, 2009
KIUNGO wa klabu ya Yanga, Athumani Iddi ‘Chuji’, amesema kwamba pamoja na kuwa na matumaini ya kuitoa Etoile d’ Or Mironstsy ya Comoro karik...
NDIKUMANA WA SIMBA AULA UBELGIJI
Saturday, January 24, 2009
MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Suleiman Yamin Ndikumana (PICHANI KUSHOTO)amenunuliwa na klabu ya daraja Pili nch...
Friday, January 23, 2009
KILIMANJARO YALETA FARAJA SIMBA, YANGA
Friday, January 23, 2009
Jumapili ya Agosti 18, mwaka jana, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager, ilisaini mkataba wa kuzidha...
YANGA SC: Mabingwa wenye ari mpya na Kilimanjaro Premium Lager
Friday, January 23, 2009
KLABU bingwa ya soka Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, Agosti 18 mwaka 2008 ilipokea habari njema nyingine, ambayo ni kupata mdhamini mpya, ...
UDHAMINI WA KILIMANJARO: Simba sasa mambo poa
Friday, January 23, 2009
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Omar Gumbo akimuonyesha kocha wa Simba, Patrick Phiri jezi za wadhamini wao, Kilimanjaro. TANGU kumpoteza mdham...
WABOGOJO NAYE ALIKUWEPOO...
Friday, January 23, 2009
Mmoja wa wacheza sarakasi wa kikundi cha Zain Mama Afrika Sarakasi, Athuman Ford 'Wabogojo' akionyesha vimbwanga wakati wa mazoezi y...
MAMBO YA ZAIN HAYOOOOOO, USIPIME
Friday, January 23, 2009
Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya viungo kwa mmoja wa wacheza sarakasi wa kikundi cha Z...
JUMA NASSOR PONDAMALI: Kipa aliyeweka rekodi kwa mbwembwe, ngumi na vituko uwanjani
Friday, January 23, 2009
Pondamali (kushoto) akiwa na Ivo Mapunda na mahmoud zubeiry INGAWAJE bado anapenda kuvaa mavazi ya u...
Subscribe to:
Posts (Atom)