• HABARI MPYA

    HABARI MOTOMOTO

    HABARI YA KIMATAIFA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    • HABARI ZA NYUMBANI
    • SIMBA
    • YANGA
    • AZAM
    Wednesday, January 07, 2026
    Tuesday, January 06, 2026
    ECUA AIPELEKA YANGA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    ECUA AIPELEKA YANGA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United ya Tabora usiku huu U...
    Monday, January 05, 2026
    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Simba SC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fufuni FC ya Pemba katika mchezo wa mwis...
    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MSHAMBULIAJI Clement Francis Mzize ameanza mazoezi leo visiwani Zanzibar baada ya kuwa nje tangu Septemba mwaka jana kufuatia kuumia goti. Y...
    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-1 dhid ya URA ya Uganda  jioni ya leo katika mchezo...
    Sunday, January 04, 2026
    TAIFA STARS YATOLEWA AFCON, YACHAPWA 1-0 NA MOROCCO, ILA REFA…

    TAIFA STARS YATOLEWA AFCON, YACHAPWA 1-0 NA MOROCCO, ILA REFA…

    SAFARI ya Tanzania katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeishia Hatua ya 16 Bora baada ya kutolewa na wenyeji, Morocco...
    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga SC wameanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KVZ katika mchezo wa Kundi C jioni ya ...
    Saturday, January 03, 2026
    BAJABER AING’ARISHA SIMBA SC KOMBE LA MAPINDUZI

    BAJABER AING’ARISHA SIMBA SC KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Simba SC ya Dar es Salaam imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwembe Makumbi City FC k...
    SINGIDA BLACK STARS YATOA SARE 1-1 NA URA KOMBE LA MAPINDUZI

    SINGIDA BLACK STARS YATOA SARE 1-1 NA URA KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Singida Black Stars imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na URA katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi hapo hapo Uwanja wa N...
    TAIFA STARS WAZAWADIWA SH. MILIONI 500 BAADA YA KUFUZU KUTINGA 16 BORA AFCON

    TAIFA STARS WAZAWADIWA SH. MILIONI 500 BAADA YA KUFUZU KUTINGA 16 BORA AFCON

    SERIKALI kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizawadia timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
    Friday, January 02, 2026
    AZAM FC YAWACHAPA MLANDEGE SC 2-0 KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC YAWACHAPA MLANDEGE SC 2-0 KOMBE LA MAPINDUZI

    MABAO ya viungo Zidane Ally Sereri dakika ya tano na Himid Mao Mkami dakika ya 54 yameipa Azam FC ushindi wa 2-0 dhidi ya waliokuwa mabingwa...
    Thursday, January 01, 2026
    Wednesday, December 31, 2025
    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    TIMU za Azam FC na Singida Black Stars zimetoa sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa New...
    MLANDEGE WAVULIWA KOMBE LA MAPINDUZI MAPEMA TU

    MLANDEGE WAVULIWA KOMBE LA MAPINDUZI MAPEMA TU

    TIMU ya Mlandege SC imevuliwa Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na URA ya Uganda katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa ...
    YANGA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO DAMARO WA SINGIDA BLACK STARS

    YANGA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO DAMARO WA SINGIDA BLACK STARS

    KLABU ya Yanga imemtambulisha kiungo Mguinea aliyebadili uraia na kuwa Mtanzania, Mohamed Damaro Camara (23) kuwa mchezaji wake mpya kwa seh...
    Tuesday, December 30, 2025
    FEI TOTO AIPELEKA TAIFA STARS 16 BORA AFCON

    FEI TOTO AIPELEKA TAIFA STARS 16 BORA AFCON

    TANZANIA imeweka rekodi ya kufuzu Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa mara ya kwanza kihistoria licha ya...
    SARE TUPU MECHI ZA JANA KOMBE LA MAPINDUZI

    SARE TUPU MECHI ZA JANA KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU za Fufuni ya Pemba na Mwembe Makumbi City wa Unguja zimegawana pointi baada ya sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi B Kombe...
    Monday, December 29, 2025

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top