// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA YAFUNGA DIRISHA DOGO KWA USAJILI WA JONATHAN IKANGALOMBO KAPELA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA YAFUNGA DIRISHA DOGO KWA USAJILI WA JONATHAN IKANGALOMBO KAPELA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 16, 2025

    YANGA YAFUNGA DIRISHA DOGO KWA USAJILI WA JONATHAN IKANGALOMBO KAPELA



    KLABU ya Yanga imemtambulisha winga wa kulia, Jonathan Ikangalombo Kapela kutoka AS Vita Club ya kwao, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwa mchezaji wake mpya wa pili dirisha hili dogo.
    Anamfuatia beki wa kulia, Israel Patrick Mwenda anayeweza kucheza kama winga wa kulia pia na kiungo, aliyesajiliwa kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu kutoka Singida Black Stars.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA YAFUNGA DIRISHA DOGO KWA USAJILI WA JONATHAN IKANGALOMBO KAPELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top