// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA KUIKABILI CS CONSTANTINE UWANJA MTUPU BILA MASHABIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA KUIKABILI CS CONSTANTINE UWANJA MTUPU BILA MASHABIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 14, 2025

    SIMBA KUIKABILI CS CONSTANTINE UWANJA MTUPU BILA MASHABIKI

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeifingia klabu ya Simba kuingiza watazamaji katika mechi zake mbili za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya vurugu zilizotokea kwenye mechi dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia Desemba 15, 2024 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    Siku hiyo, Simba SC ilitoka nyuma na kushinda 2-1 kabla ya vurumai kuibuka na mashabiki wake kushambuliana na mashabiki wa wageni kwa kurushiana viti walivyokuwa wanang’oa uwanjani.
    Maana yake Simba hawatakuwa na watazamaji katika mchezo wao wa mwisho wa Kundi A Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine Jumapili.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA KUIKABILI CS CONSTANTINE UWANJA MTUPU BILA MASHABIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top