// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, January 01, 2025

    LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI

    Ligi Kuu inasimama Simba SC ikiwa kileleni kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga baada ya timu zote kucheza mechi 15.

    BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema kwamba Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inasimama baada ya mechi za Desemba 29, 2024 kupisha Fainali za michuano ya Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) ambazo Tanzania itakuwa mwenyeji kwa kushirikiana na Kenya na Uganda.
    Taarifa ya Bodi ya Ligi jana imesema kwamba kabla ya CHAN michuano ya Kombe la Mapinduzi itaanza Januari 3, 2025 Zanzibar, hivyo Ligi Kuu itasimama hadi Machi Mosi mwaka 2025 itakaporejea na itahakikisha inafikia tamati ndani ya muda wa Kalenda ya msimu.


    # TeamPWDLFADPLast 5 matchesH2H
    1151311315+2640WWWWW
    2151302326+2639WWWWW
    3161132258+1736WWLWW
    41610332211+1133LWWWL
    5157441919+025DWWDW
    6166282432-820LLLWL
    7164751414+019LLDDD
    8164751012-219LLDDD
    9Previous rank: 12165471621-519WLLLW
    10Previous rank: 9165471121-1019DWDLL
    11Previous rank: 10164661617-118DDLWD
    12Previous rank: 11165291119-817WDWDL
    1316358717-1014WLLDL
    1416268716-912LLDWL
    15152581019-911LDDDL
    161613121129-186
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top