// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KILIMANJARO STARS YATOLEWA MAPEMA KOMBE LA MAPINDUZI PEMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KILIMANJARO STARS YATOLEWA MAPEMA KOMBE LA MAPINDUZI PEMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 07, 2025

    KILIMANJARO STARS YATOLEWA MAPEMA KOMBE LA MAPINDUZI PEMBA


    TIMU ya Tanzania Bara imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Kenya leo Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanzibar.
    Mabao ya Harambee Stars yaliyoizamisha Kilimanjaro Stars yamefungwa na Boniphace Muchiri dakika ya 56 na Ryan Ogam dakika ya 68.
    Kwa ushindi huo, Harambee Stars inafikisha pointi nne, sawa na Burkina Faso, zikifuatiwa na wenyeji, Zanzibar Heroes yenye pointi tatu, wakati Tanzania Bara haina lolote wala chochote baada ya timu zote kucheza mechi mbili mbili.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KILIMANJARO STARS YATOLEWA MAPEMA KOMBE LA MAPINDUZI PEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top