// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, January 11, 2025

    AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI


    KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo mshambuliaji, Zidane Sereri (19) kutoka Dodoma Jiji kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka mitano utakaodumu hadi mwaka 2030.
    Huyo anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa Azam FC dirisha hili dogo baada ya beki Zouzou Landry kutoka AFAD Djekanou ya kwao, Ivory Coast.
    Zouzou Landry, mwenye umri wa miaka 23 tu, anayecheza nafasi za beki wa kushoto na wa kati — amesaini mkataba wa miaka minne, utakaodumu hadi mwaka 2028. 
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top