// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MJUMBE BODI YA WAKURUGENZI AZAM FC AFIWA NA BABA YAKE MZAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MJUMBE BODI YA WAKURUGENZI AZAM FC AFIWA NA BABA YAKE MZAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, December 03, 2024

    MJUMBE BODI YA WAKURUGENZI AZAM FC AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


    MJUMBE was Bodi ya Wakurugenzi ya Azam FC, Careen Bahadour amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Marhun Shermohamed 'Sheru' jana Jumatatu nchini Afrika Kusini alipokuwa anafanyiwa matibabu.
    Taarifa ya Azam FC mapema leo umesema kwamba mazishi yanafanyika Saa 4:00 asubuhi ya leo kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam baada ya Sala itakayofanyika msikiti wa Maamur, Upanga,
    “Tunatuma salamu zetu za rambirambi kwa familia ya @careem99_, ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huu,”imesema taarifa ya Azam FC mapema leo.
    Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiun! 🙏🙏🙏
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MJUMBE BODI YA WAKURUGENZI AZAM FC AFIWA NA BABA YAKE MZAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top