// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, December 12, 2024

    KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0


    WENYEJI, KMC wametoka suluhu na Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
    Katika mchezo huo mkali na wa kusisimua, timu zote zilishambuliana kwa zamu na sifa ziwaendee makipa wa timu zote mbili za mabeki wao – kama si lawama kwa safu za ushambuliaji kukosa makali leo.
    Kwa matokeo hayo, KMC inafikisha pointi 15 katika mchezo wa 14 ingawa inabaki nafasi ya 11, wakati Mashujaa FC inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 13, nayo inabaki nafasi ya sita.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top