// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JKT TANZANIA NA MASHUJAA NGUVU SAWA MBWENI, 0-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JKT TANZANIA NA MASHUJAA NGUVU SAWA MBWENI, 0-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 15, 2024

    JKT TANZANIA NA MASHUJAA NGUVU SAWA MBWENI, 0-0


    TIMU za JKT Tanzania na Mashujaa zimegawana pointi kwa sare ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Michael Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
    JKT Tanzania inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 13 nafasi ya nane, nyuma ya Mashujaa FC yenye pointi 19 za mechi 14 nafasi ya saba. 
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JKT TANZANIA NA MASHUJAA NGUVU SAWA MBWENI, 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top