// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 30, 2024

    MASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA


    WENYEJI, Mashujaa wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. 
    Mshambuliaji Tariq Seif Kiakala alianza kuifungia Kagera Sugar dakika ya 31, kabla ya mshambuliaji Mohamed Saleh Mussa kuisawazishia Mashujaa kwa penalti dakika ya 88.
    Kwa matokeo hayo, Mashujaa inafikisha pointi 17 na kusogea nafasi ya sita, wakati Kagera Sugar inafikisha pointi tisa katika mchezo wa 12 nafasi ya 13. 
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHUJAA YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top