// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 30, 2024

    YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR


    MABINGWA watetezi, Yanga hatimaye wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Black Stars Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
    Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Muivory Coast, Peodoh Pacôme Zouzoua dakika ya 67 na kwa ushindi huo Yanga wanafikisha pointi 24 katika mchezo wa nane na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu kwa mara ya kwanza msimu huu.
    Singida Black Stars wakiokuwa wanaongoza tangu mwanzo wa msimu wanashukia nafasi ya pili wakibaki na pointi zao 22 baada ya kucheza mechi tisa sasa.
    Yanga ilipoteza wacheza wawili, wote mabeki wa kushoto, kwanza Mkongo, Chadrack Issaka Boka kipindi cha kwanza na mbadala wake, Nickson Clement Kibabage kipindi cha pili baada ya wote kuumia.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top