// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 28, 2024

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA


    TIMU ya soka ya taifa ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars usiku wa jana imefungwa bao 1-0 na Sudan kwenye Uwanja wa Cheikha Ould Boïdiya Jijini Nouakchott katika mchezo wa kwanza wa kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN).
    Bao pekee la Sudan lilifungwa na mshambuliaji wa Al Hilal, Mohamed Abdelrahman Yousif Yagoub Al Gharbal dakika ya 23 na timu hizo zitarudiana Jumapili ya Novemba 3 Uwanja Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla kati ya Ethiopia na Eritrea mwezi Desemba katika hatua ya mwisho ya mchujo wa tiketi ya CHAN, ingawa Tanzania na Kenya zimekwishafuzu kwa tiketi ya uenyeji.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top