// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SULEIMAN GOMEZ MCHEZAJI BORA LİGİ KUU MWEZI SEPTEMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SULEIMAN GOMEZ MCHEZAJI BORA LİGİ KUU MWEZI SEPTEMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 14, 2024

    SULEIMAN GOMEZ MCHEZAJI BORA LİGİ KUU MWEZI SEPTEMBA



    KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate FC, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ amechaguliwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Septemba, mwaka huu.
    Aidha, Kocha wa Fountain Gate Mohamed Muya ameshinda Tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Septemba Ligi Kuu, akiwapiku Mmorocco Rachid Toussi wa Azam FC na mzawa mwenzake, Dennis Kitambi wa Singida Black Stars.
    Kwa upande wake, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ ameshinda Tuzo hiyo dhidi ya William Edgar anayecheza naye Fountain Gate na Feisal Salum wa Azam FC.


    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SULEIMAN GOMEZ MCHEZAJI BORA LİGİ KUU MWEZI SEPTEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top