// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA BLACK STARS YAILAZA NAMUNGO FC 2-0 LITI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA BLACK STARS YAILAZA NAMUNGO FC 2-0 LITI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 20, 2024

    SINGIDA BLACK STARS YAILAZA NAMUNGO FC 2-0 LITI


    TIMU ya Singida Black Stars imeendelea kutamba kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC Uwanja wa CCM Liti, Singida.
    Mabao ya Singida Black Stars inayofundishwa na Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems yote yamefungwa na kiungo Mtogo, Marouf Tchakei dakika ya 55 na la penalti dakika ya 88.
    Ushindi huo unaifanya Singida Black Stars ifikishe pointi 19 katika mchezo wa saba na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi nne zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi.
    Kwa upande wao, Namungo FC baada ya kichapo cha leo inabaki na pointi zake sita za mechi saba nafasi ya 13.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA BLACK STARS YAILAZA NAMUNGO FC 2-0 LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top