// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 28, 2024

    NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO


    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
    Bao pekee la Namungo FC leo limefungwa na beki  Ibrahim Abdallah Ali ‘Mkoko’ dakika ya 14 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya 11.
    Kwa upande wao Pamba Jiji waliorejea Ligi Kuu msimu huu baada ya miaka 22 wanabaki na pointi zao tano za mechi 10 sasa nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top