// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MPULIZA KIPYENGA SIMBA NA YANGA KESHO RAMADHANI KAYOKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MPULIZA KIPYENGA SIMBA NA YANGA KESHO RAMADHANI KAYOKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 18, 2024

    MPULIZA KIPYENGA SIMBA NA YANGA KESHO RAMADHANI KAYOKO


    REFA Ramadhan Kayoko wa Dar es Salaam ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    Katika mechi hiyo ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Kayoko atasaidiwa mwana Dar es Salaam mwenzake, Kassim Mpanga  na Mohamed Mkono wa Tanga ambao watakuwa wanakimbizana na kasi ya mchezo na vibendera vyao pembezoni mwa Uwanja.
    Refa wa akiba wa mchezo huo utakaoanza Saa 11:00 jioni atakuwa ni mwanamama, Tatu Malogo wa Tanga ambaye atakuwa mezani akidhibiti pia mabenchi ya timu zote na kusaidia mabadiliko ya wachezaji na mambo mengine.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MPULIZA KIPYENGA SIMBA NA YANGA KESHO RAMADHANI KAYOKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top